Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangu mwaka huu uanze kitu kikubwa cha maendeleo ulichofanya ni kuweka protector kwenye simu yako tu!
Wanawake wametumia 9,242,750!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nikweli kabisa mzee mwenzangu hafu protector ya 3500/= maana nilibagain ile 5000/=

Hii inanikumbusha ule mkopo wako wa 300million ulivyo umaliza bar na casino kwa siku moja miaka 5 iliyopita ukataka kufungwa.
 
Back
Top Bottom