Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
π π πBinzari (Turmeric/Yellow Root)
Binzari halisi hutokana na mizizi ya mmea wa binzari manjano ambao hufanana na ule wa tangawizi. Mizizi ya binzari huweza kukaushwa, kusagwa na kutengeneza unga wa binzari ya manjano ambao hutumika kama kiungo cha chakula. Vilevile binzari mbichi inaweza kutwangwa na kutumika kwenye
πππππ jamani...Swalama,kucha zetu zipo poa?na mmiliki wake yupo poa?
Mtu ukizeeka ata mwili unakosa radha