Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meti (Methi)
Meti ni majani ya mmea uitwao kwa Kiingereza “Fenugreek”. Kwa Kiswahili inaitwa (Uwatu) Hii ni aina ya kiungo ambacho huchochea uvunjaji wa kemikali mwilini yaani umetaboli. Majani ya meti yanaweza kukaushwa na kutumika kama kiungo au kutumika yakiwa mabichi.
 
Vilevile mbegu za “Fenugreek” UWATU huweza kukaushwa, kusagwa na kutumika katika kutengeneza unga wa viungo yaani “curry powders”. Meti inaweza kutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na mboga za majani na vilevile katika mapishi mbalimbali ya samaki.
 
Wakati nipo mtoto nilikua nayachukia sana mana nilikua nayaona makubwa ila baadae watu wengi walikua wanaonesha kuyapenda ikapeleke na mimi niyapende tu.....

Kwakua na wewe umependa na umekua mkweli kusema basi acha tu niseme Asante sana Mpendwa 🙏
Dada yangu ana macho kama hayo huwa namuonea wivu natamani ningekuwa nayo mimi yaani nayapenda.
 
Back
Top Bottom