Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hee kumbe mmiliki Ni wewe,sasa yale masomo chokozi huwa unataka ya nini shuain zako kijana wa mini goat😂😂😂😂😂 jamani...
Zipo poa na mmiliki wake sindio mimi na nipo poa pia 😀
Mtu ukizeeka ata mwili unakosa radha
Nimekosa cha kujibu Mpendwa 😄Mimi nakufa na macho mazuri mazuri
Msema kweli mpenzi wa Mungu nimeyapenda mnooNimekosa cha kujibu Mpendwa 😄
Sasa masomo chokozi siyatanisaidia kwa matumizi ya hapo baadae jamani 😁Hee kumbe mmiliki Ni wewe,sasa yale masomo chokozi huwa unataka ya nini shuain zako kijana wa mini goat
Wakati nipo mtoto nilikua nayachukia sana mana nilikua nayaona makubwa ila baadae watu wengi walikua wanaonesha kuyapenda ikapeleke na mimi niyapende tu.....Msema kweli mpenzi wa Mungu nimeyapenda mnoo
Dada yangu ana macho kama hayo huwa namuonea wivu natamani ningekuwa nayo mimi yaani nayapenda.Wakati nipo mtoto nilikua nayachukia sana mana nilikua nayaona makubwa ila baadae watu wengi walikua wanaonesha kuyapenda ikapeleke na mimi niyapende tu.....
Kwakua na wewe umependa na umekua mkweli kusema basi acha tu niseme Asante sana Mpendwa 🙏
Hahah! Eti unamuonea wivu...... Sema sasa kila mtu huwa na kitu ambacho huwavutia wengina, hapo utakuna na wewe una kitu ambacho sister yako anatamani angelikuwa nachoDada yangu ana macho kama hayo huwa namuonea wivu natamani ningekuwa nayo mimi yaani nayapenda.
Mimi nahisi hakunaHahah! Eti unamuonea wivu...... Sema sasa kila mtu huwa na kitu ambacho huwavutia wengina, hapo utakuna na wewe una kitu ambacho sister yako anatamani angelikuwa nacho
Hee kuna macho yalinipitaaa?sijui nijigeuze anne nianze kudai picha hahahaMsema kweli mpenzi wa Mungu nimeyapenda mnoo
Cheiiiii king niyaoneeeeeeeeWakati nipo mtoto nilikua nayachukia sana mana nilikua nayaona makubwa ila baadae watu wengi walikua wanaonesha kuyapenda ikapeleke na mimi niyapende tu.....
Kwakua na wewe umependa na umekua mkweli kusema basi acha tu niseme Asante sana Mpendwa 🙏
Nije PM ee?Dada yangu ana macho kama hayo huwa namuonea wivu natamani ningekuwa nayo mimi yaani nayapenda.
Sitaki kusifia sana bae wake akachukia ila ana macho ya kushawishi mpendwaHee kuna macho yalinipitaaa?sijui nijigeuze anne nianze kudai picha hahaha
😀😀😀😀😀Uwiiiii machooo