Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

463501959_537845.jpeg
 
Mpendwa naye ni moto wa kuotea mbali. Picha yake ya kwanza kabisa aliweka kule kwa dakika moja tu akaifuta lakini nikawa nimeidaka otomatikale. Kwa jinsi ilivyokuwa nikajaribu kuona kama pengine kaiokota mtandaoni Instagram kwa maslei kwini lakini ikathibitishwa kuwa picha hiyo ilikuwa imepigwa siku hiyo hiyo na geo location ikaonyesha ni Dubai.

Imagine sasa jinsi alivyo yeye na King waungane in holly matrimony. Vitoto vitakavyozaliwa vitakuwa vilimbwende kuzidi hata malaika wallahi....
Hivi huwa unafanyaje hadi unajua location ya mahali kwenye picha ya member akiweka aiseee 🤔
 
Back
Top Bottom