Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi huwa unafanyaje hadi unajua location ya mahali kwenye picha ya member akiweka aiseee 🤔Mpendwa naye ni moto wa kuotea mbali. Picha yake ya kwanza kabisa aliweka kule kwa dakika moja tu akaifuta lakini nikawa nimeidaka otomatikale. Kwa jinsi ilivyokuwa nikajaribu kuona kama pengine kaiokota mtandaoni Instagram kwa maslei kwini lakini ikathibitishwa kuwa picha hiyo ilikuwa imepigwa siku hiyo hiyo na geo location ikaonyesha ni Dubai.
Imagine sasa jinsi alivyo yeye na King waungane in holly matrimony. Vitoto vitakavyozaliwa vitakuwa vilimbwende kuzidi hata malaika wallahi....
Aisee hizi sifa sio zangu mpendwaAkiwekaga kule sekunde 30 tu keshafuta. Ila ni moto balaa maslei kwini wa IG wala hawamsogelei. Yaani hata akiwa kwenye dera bado unaona....shombe shombe halafu dah [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ukibisha naweka ushahidi hapa ohooo !!!Aisee hizi sifa sio zangu mpendwa
Poleni mlio safarini na mfike salama..
Safi sana [emoji1547][emoji1547][emoji1547]