Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thierry Henry, mshambuliaji

Kinara wa muda wote wa mabao huko Arsenal. Henry amejengewa hadi sanamu nje ya Uwanja wa Emirates, lakini aliamua kuachana na kazi ya kunoa kikosi cha umri chini ya miaka 18 huko Arsenal na kwenda kufanya kazi ya kuchambua soka kwenye televisheni ya Sky Sports.

Henry kisha akajiunga na Ubelgiji akiwa msaidizi wa kocha Roberto Martinez na walifanikiwa kuisaidia timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia. Alipata kazi ya kuinoa Monaco akapigwa chini. Kwa sasa ni kocha wa Montreal Impact ya Marekani.
Hii ndio ilikuwa Arsenali bana. Ilibidi nile kona ilipoanza kuwa kichwa cha mwenda wazimu. 😀😀
 
Back
Top Bottom