Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Posta sio mimi bro.Duuh! Kama sio lile Ford basi itakua ni ile Jeep πππ
View attachment 1375763
Au ndio wewe ulieleta haya matusi pale mjini Posta juzi kati hapa?
Mbona hajapost baskeli bado?Mzee mwenzake umenishtua sana.
Kuna mahali umepost ndinga yangu bila kujua π π π
Hahahahaahhaa, baiskeli ipo pia.Mbona hajapost baskeli bado?
Tuwekee na wengine tuone...ππππ daah!
Kwamba hayo ndio macho ya Davet sio?Hili gari linatuacha wengine kila siku ...
Juzi guu la haja , leo macho...
View attachment 1375765
msiwe mnazitoa jamani
πAcha matisho
Hii ndio ilikuwa Arsenali bana. Ilibidi nile kona ilipoanza kuwa kichwa cha mwenda wazimu. ππThierry Henry, mshambuliaji
Kinara wa muda wote wa mabao huko Arsenal. Henry amejengewa hadi sanamu nje ya Uwanja wa Emirates, lakini aliamua kuachana na kazi ya kunoa kikosi cha umri chini ya miaka 18 huko Arsenal na kwenda kufanya kazi ya kuchambua soka kwenye televisheni ya Sky Sports.
Henry kisha akajiunga na Ubelgiji akiwa msaidizi wa kocha Roberto Martinez na walifanikiwa kuisaidia timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia. Alipata kazi ya kuinoa Monaco akapigwa chini. Kwa sasa ni kocha wa Montreal Impact ya Marekani.
Shabiki wa arsenal halisi nakuonaaaHii ndio ilikuwa Arsenali bana. Ilibidi nile kona ilipoanza kuwa kichwa cha mwenda wazimu. ππ
Yaan mpendwa sijui huko alipo saiv ana hali gani daahSijui.. Mpendwa ndio anaweza kuyaelezea vizuri kabisa vile yalimshawishi π