Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😁😁😁😁Hahahahaah Chips bila tomato na chilisosi haijakamilika ujue
😁😁😁😁Hahahahaah Chips bila tomato na chilisosi haijakamilika ujue
Mzee mwenzake umenishtua sana.
Kuna mahali umepost ndinga yangu bila kujua [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Anko nina wasiwasi sana na wewe kwamba ulimbadilishia mtu route yake 😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili gari linatuacha wengine kila siku ...
Juzi guu la haja , leo macho...
View attachment 1375765
msiwe mnazitoa jamani
Usilinganishe macho ya bae wa JF na vitu visivyoeleweka shem (Samahani kama hii ni lugha kerezi). Mpaka mpendwa amesarenda waziwazi unafikiri mchezo?[emoji23][emoji23]shem unataka kusema bae wa uzi ako na macho kama ya michael ealy??
Maana michael ndo anamacho yanayonimaliza nguvu[emoji85][emoji125][emoji125]
Yaan mpendwa kanifurahisha sana. Ila hio bahati nshaipata dave wa kishua alijitupiaga humu. Sasa hayo macho sikuyaangalia daaah
Usiku wa jichooo
Aangalie sana asije akahonga hata madini na dola zote za kwenye utalii[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nikweli ushiriki wake unasua sana sasa hivi ila nahisi ni matokeo mabovu ya timu yake ndio inachangia, alafu baada ya hapo alipigwa hili tukio hapo chini na Anne
View attachment 1375789
Kuna watu kweli hamna bahati
Uliangalia nini eti?[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Usilinganishe macho ya bae wa JF na vitu visivyoeleweka shem (Samahani kama hii ni lugha kerezi). Mpaka mpendwa amesarenda waziwazi unafikiri mchezo?
View attachment 1375802
😂😂 Niifute akiliniNgumu hio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aangalie sana asije akahonga hata madini na dola zote za kwenye utalii[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Si unaona shem. Mpendwa wetu kwisha khabari yake. Yaani dah zinamponyoka tu kama vile siye yeye....
Mimi nilishamuotea siku moja hapa mtoto ni moto wa kuotea mbaliKwa nini
Hahah! BroSi unaona shem. Mpendwa wetu kwisha khabari yake. Yaani dah zinamponyoka tu kama vile siye yeye....