Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]shem unataka kusema bae wa uzi ako na macho kama ya michael ealy??

Maana michael ndo anamacho yanayonimaliza nguvu[emoji85][emoji125][emoji125]
Usilinganishe macho ya bae wa JF na vitu visivyoeleweka shem (Samahani kama hii ni lugha kerezi). Mpaka mpendwa amesarenda waziwazi unafikiri mchezo?

 
Nikweli ushiriki wake unasua sana sasa hivi ila nahisi ni matokeo mabovu ya timu yake ndio inachangia, alafu baada ya hapo alipigwa hili tukio hapo chini na Anne
View attachment 1375789
Aangalie sana asije akahonga hata madini na dola zote za kwenye utalii[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…