Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kwani Yanga kashinda ngapi leo?Nataka kwanza picha
Leo unanitosha ushindi wa yanga tu[emoji3]
MOUD asiyeshabikia yanga Leo atapambana na Hali yake maana milivapuu ilishaachia goli huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa marangi rangi haya hawa lazima Wanyakyusa aisee. Wasukuma hatupendagi marangi ya hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Micheza rede umeanza kuikandia mara hii? Na badoooo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]Nataka kwanza picha
Leo unanitosha ushindi wa yanga tu[emoji3]
MOUD asiyeshabikia yanga Leo atapambana na Hali yake maana milivapuu ilishaachia goli huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nahisi itaenda viral hii [emoji16][emoji16][emoji16]