Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji119][emoji119]
Watu wanatelezeshamo tu sasa hiviKumekucha huku
😂😂😂😂 hii kauli yako bwana.....Watu wanatelezeshamo tu sasa hivi
Kauli ya Bro Shimba hyo baada ya kipigo kile cha juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kauli yako bwana.....
Simeone anakusanya tu material
😂😂😂😂 nimeona bro kumbe SYB ndio muanzilishi wa hizi kauli za kibabe
Huyo VVD kawa chochoro tuWatford Mungu anawaona toka mmetoboa tundu,wenzenu beki hazikabi kabsa
Walibikiriwa kibabe sana. Wana trauma hao na mpaka kurudi sawa itabidi mpaka ushauri nasaha na misaada mingine ya kisaikolojia. Na wakizubaa hata ubingwa wanaweza wasiupate wacheza rede hawa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Walibikiriwa kibabe sana. Wana trauma hao na mpaka kurudi sawa itabidi mpaka ushauri nasaha na misaada mingine ya kisaikolojia. Na wakizubaa hata ubingwa wanaweza wasiupate wacheza rede hawa.
Acha watelezeshweamo tu kwa sababu walikuwa wamezidi kujimwambafai. Tulikuwa hatulali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1376046
Chelsea wangetulia walikua wanashinda ata goli saba kwenye hii game...... poor LiverpoolYaani hata kama zingeongezwa dakika zingine 45 Livapuu wasingeweza kufunga....Wacheza rede hoooovyoooo !!!!
View attachment 1376047
Tusubirie wajeYaani hata kama zingeongezwa dakika zingine 45 Livapuu wasingeweza kufunga....Wacheza rede hoooovyoooo !!!!
View attachment 1376047
Kaka Moud hali inazidi kuwa mbaya bro, sijui ile kasi itarudi lini??😄😄😄😄 leo akishinda atarudi tena kwenye ubora wake