myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
06:42
Kwanini waongezeYaani hata kama zingeongezwa dakika zingine 45 Livapuu wasingeweza kufunga....Wacheza rede hoooovyoooo !!!!
View attachment 1376047
Dah [emoji24]Chelsea wangetulia walikua wanashinda ata goli saba kwenye hii game...... poor Liverpool
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] leo akishinda atarudi tena kwenye ubora wake
Kaka Moud hali inazidi kuwa mbaya bro, sijui ile kasi itarudi lini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasi gani?
Ndo imetoka hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] leo akishinda atarudi tena kwenye ubora wake
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasi gani?
Ndo imetoka hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko nina wasiwasi sana na wewe kwamba ulimbadilishia mtu route yake [emoji1]
Unanionea bure[emoji23][emoji23][emoji23] stela sio vizur
Utatamani kuzimia kidogoNikweli ushiriki wake unasua sana sasa hivi ila nahisi ni matokeo mabovu ya timu yake ndio inachangia, alafu baada ya hapo alipigwa hili tukio hapo chini na Anne
View attachment 1375789
Salamu za Jumatano ziwafikie popote mlipo.
Siku iwe njema kwetu sote.
Kasi itarufi lakini ndio atajifunza kuwa na ustaarabu katika ushangiliaji wake 😂😂...Kasi ya kupromote utalii wa ndani, Hahahaha