Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
2.25280455482154035E18.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanatelezeshamo tu sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kauli yako bwana.....

Simeone anakusanya tu material
Watford Mungu anawaona toka mmetoboa tundu,wenzenu beki hazikabi kabsa
Huyo VVD kawa chochoro tu
Walibikiriwa kibabe sana. Wana trauma hao na mpaka kurudi sawa itabidi mpaka ushauri nasaha na misaada mingine ya kisaikolojia. Na wakizubaa hata ubingwa wanaweza wasiupate wacheza rede hawa.

Acha watelezeshweamo tu kwa sababu walikuwa wamezidi kujimwambafai. Tulikuwa hatulali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1376046

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom