Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Hii moment mbaya sana
Hahah! Hii moment mbaya sana
Jamani embu wapumzisha basi 😅😅😅😅Invincible Out, and Now Treble out..... Liverpool has bottled it again..... there are only two great teams in EPL, the Invincible Arsenal and The treble Winners Man United..... Liverpool can't even do a double..... 😂😂😂😂😂😂
seriously man 😅 liv got beaten by CHEALSEA !!! I can't believe my eyes🤯
Ndoo gani bro[emoji23][emoji23]Kasi itarufi lakini ndio atajifunza kuwa na ustaarabu katika ushangiliaji wake [emoji23][emoji23]...
City juzi tumechukua ndoo lakini hatuna makeke wala makelele...
Carabao CupNdoo gani bro[emoji23][emoji23]
Nikweli ushiriki wake unasua sana sasa hivi ila nahisi ni matokeo mabovu ya timu yake ndio inachangia, alafu baada ya hapo alipigwa hili tukio hapo chini na Anne
View attachment 1375789
Hizii ndoo si za mbuzi jamaniCarabao CupView attachment 1376173
Ndio hizo hizo ambazo nyie zimewashinda 😁Hizii ndoo si za mbuzi jamani
😄😄
Anko nina wasiwasi sana na wewe kwamba ulimbadilishia mtu route yake [emoji1]
Aangalie sana asije akahonga hata madini na dola zote za kwenye utalii[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Naomba urudishe nywila ya kaka yangu moud pliiizii