Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafwaaaaaaaaaaaaaaaSafi kama umeacha ila hiyo chenchi nilimpa wife kipindi kile akalipe kodi ya chumba na chenchi ya chenchi alifanya shopping yake na kununua mahitaji mengine ya nyumbani
Kwani leo kuna kitu umechanganya bro?kama ni ile ile punguza kipimo[emoji23][emoji23][emoji23]Safi kama umeacha ila hiyo chenchi nilimpa wife kipindi kile akalipe kodi ya chumba na chenchi ya chenchi alifanya shopping yake na kununua mahitaji mengine ya nyumbani
Nilikosea kuliandika wakat najiunga humu, ila sahihi ni Nigendako, maana yake ni Mkiwa (mtu anayezaliwa baada ya ndugu zake wawili anaowafata kufariki wakiwa bado wachanga)
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Ahsante bro kwa kuniumbulia mtu. Daah!Hiyo ya mia ni zamani sana kuliko hiyo ya 200, ya mia ndiyo ilikuwa noti kubwa ya mwisho mpaka Nyerere anaondoka madarakani 1985
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga tunashangaa mnajidai πππππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafwaaaaaaaaaaaaaaa
Numby kutoka kwenye kinumbu kwa kiswahili kiazi kitamu
π€£π€£π€£π€£ ona sasa unapokimbilia. Dah!Kwani leo kuna kitu umechanganya bro?kama ni ile ile punguza kipimo[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante Ayyanna.. Hilo lako lina maana gani pia?Oohhh nashukuru sana Nigendako.(Nii)
Pole pia.
Asante Ayyanna.. Hilo lako lina maana gani pia?
πππ embu njoo muhenga mwenzangu unisaidie huu mjadala hapaWahenga tunashangaa mnajidai πππ
Maana yake ni majani flani kama mirungi mkuuNaomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
Aah bro ako kachanganya madesa hio 200 nayo ilikua kubwa enzi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona hajaongelea senti yetuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Ahsante bro kwa kuniumbulia mtu. Daah!
100 tu imekuingiza chaka aya hiyo senti utaijulia wapi jamani? πππAah bro ako kachanganya madesa hio 200 nayo ilikua kubwa enzi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona hajaongelea senti yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio hela ya juzi bana enzi zetu tulikua tunatumia senti
Asante Ayyanana, Ua zuri linukialoAyanna ni Ua/Uwa zuri
Chagua hela yako uliyokuwa unapewa kwenda nayo shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio hela ya juzi bana enzi zetu tulikua tunatumia senti
Sina sababu