Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safi sana, ingawa kwa lugha ya kwetu mwana mkiwa ni yule aliyeondokewa na wazazi wake wawili akiwa bado mdogo
Nilikosea kuliandika wakat najiunga humu, ila sahihi ni Nigendako, maana yake ni Mkiwa (mtu anayezaliwa baada ya ndugu zake wawili anaowafata kufariki wakiwa bado wachanga)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam mtaa wa pili
FB_IMG_1583345352645.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro uyasemayo yote yaliwezekana.
Noti hiyo ilijulikana shilingi mia ya mmasai, ilikuwa na nguvu kwelikweli katika noti zote tulizo/tunazomiliki
Safi kama umeacha ila hiyo chenchi nilimpa wife kipindi kile akalipe kodi ya chumba na chenchi ya chenchi alifanya shopping yake na kununua mahitaji mengine ya nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom