moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahaha😂😂😂😂 kumbe umeona?
Nimefurahi unavyojisogeza sogeza tu
Aah bro ako kachanganya madesa hio 200 nayo ilikua kubwa enzi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona hajaongelea senti yetu
Sikuwa nmeiona hii bae,mbona hujamkarbsha weekend kuhusu ile shughuri?ningendako tulikuwa tunalea [emoji12]
Ayaaaaaaaa umenikumbusha mbali kweli kweli. Shule nilikua nafungiwa viazi vha kuchemsha hakuna cha hela mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh! Wanaleta mabishano kwenye vitu hawavijui
Hii timu imekua timu ya kipumbavu sana yani richa ya kuwa na resources zote muhimu lakini bado inashindwa kutoa ushindani wa maana kwenye ligi dhaifu kama hii
Nilipoandika hiyo list nilituma kabla sijakuandika.....nikarudi ku edit (nikakuongeza)...nikahisi ange jibu mtu...usingekuwepo kwenye list.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, acheni hizo.
Mi nilikuwa napewa au nyingine nilikuwaga napewa na wale wageni wanaokuja home zama hizo.
Unajikuta una mkwanja wa kutosha[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
So moud wewe ni Mo au mudi?
Mo=hela. Mo salah, Mo dewji
Mudi=mifuko hoi
Kwamba davet nae ni mhenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki wahenga wameingiliwa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo nimesema hayo yote bro lakini bado vijana hawa wamenishutumu eti nimetumia kijitiBro uyasemayo yote yaliwezekana.
Noti hiyo ilijulikana shilingi mia ya mmasai, ilikuwa na nguvu kwelikweli katika noti zote tulizo/tunazomiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sina hela, kwahiyo waweza niita moud tu kama walivyo masikini wenzangu.
Mo tutawaachia wale matajiri na maarufu kama Mo Ibrahim, Mo Dewji, Mo Salah nk.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu niliizoom tu nikaiachaFanya mambo basi
View attachment 1376697
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hapo kwenye hilo daraja ulipokwama na bus zamani 80s hapakuwa na daraja hivyo ilikua ngumu watu wa upande mmoja kujumuika na watu wa upande mwingine hasa wakati wa masika
Nawe umekua mzembe sanaHalafu niliizoom tu nikaiacha