Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fyekero ni Id tofauti na hiyo unayotumia sasa.
Kuna watu wana Ids zaidi ya moja ambazo wanazitumia kwa malengo mbalimbali.
Kuna wanaume wana I'd za kike na hurushiwa fwedwa na wapenda ngono waliojaa jf.
Kuna watu wa I'd mbili kwa nia ya kujiongezea likes zao,
Kuna wengine akimtongoza mwanamke kwa I'd yake maarufu akiona hafanikiwi anatumia Fyekero
Kwa kifupi matumizi yake ni mengi ingawa mi binafsi ninayo moja
Fyekero ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam wanakosea kujiingiza kwenye biashara ya kugombea wachezaji.
Azam wanapaswa kuwekeza kwenye kuibua vipaji na kuvitumia.
Lakini pamoja na ukwasi walionao wanafanya mambo kama stand united
Hii timu imekua timu ya kipumbavu sana yani richa ya kuwa na resources zote muhimu lakini bado inashindwa kutoa ushindani wa maana kwenye ligi dhaifu kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom