Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
๐๐๐ nakuaminia najua bado unafanya uchunguzi kabla ya kuingia chakaBado nakunywa mchuzi, nyama nitazikuta chini ๐ ๐ ๐
๐๐๐ nakuaminia najua bado unafanya uchunguzi kabla ya kuingia chakaBado nakunywa mchuzi, nyama nitazikuta chini ๐ ๐ ๐
[emoji23][emoji23][emoji23]
ningendako aone hapa
Naona majukumu yamemzidia Shemeji SHIMBA YA BUYENZE anaweza kunisaidia mpaka atakaporejea mfilistiMaskini mfilisti wa watu...
Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yasemekana hii ndo kauli inayotibu nguvu za kiume
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye hilo daraja ulipokwama na bus zamani 80s hapakuwa na daraja hivyo ilikua ngumu watu wa upande mmoja kujumuika na watu wa upande mwingine hasa wakati wa masika
[emoji23]acha tuNawe umekua mzembe sana
Wanasikitisha sana, eti wachezaji waliopigwa chini na timu kama Yanga wao ndio wanachukua wanaweka kikosini. Poor AzamAzam wanakosea kujiingiza kwenye biashara ya kugombea wachezaji.
Azam wanapaswa kuwekeza kwenye kuibua vipaji na kuvitumia.
Lakini pamoja na ukwasi walionao wanafanya mambo kama stand united
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukranFyekero ni Id tofauti na hiyo unayotumia sasa.
Kuna watu wana Ids zaidi ya moja ambazo wanazitumia kwa malengo mbalimbali.
Kuna wanaume wana I'd za kike na hurushiwa fwedwa na wapenda ngono waliojaa jf.
Kuna watu wa I'd mbili kwa nia ya kujiongezea likes zao,
Kuna wengine akimtongoza mwanamke kwa I'd yake maarufu akiona hafanikiwi anatumia Fyekero
Kwa kifupi matumizi yake ni mengi ingawa mi binafsi ninayo moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tumepanda mabus FIAT na LEYLAND halafu tunachukuliana poa...
Maskini mfilisti wa watu...
Galisa ndio wapi tena?Asante bi dada kutoka Galisa
Ukiona maji yametuliaaa ujue kina kirefu bro.๐๐๐ nakuaminia najua bado unafanya uchunguzi kabla ya kuingia chaka
Watu tumepanda mabus FIAT na LEYLAND halafu tunachukuliana poa...
Kwanini uliamua kujiita nigendako/ningendako?
Kuna story yoyote nyuma ya hilo jina?
Ewaaa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] basi nakutoa wewe
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ bro unanipiga chini umenisahau kwenye vijiwe vyetu enzi zile tupo na kina Side Storowei. Hahah!Uko sahihi ingawa huna cha uhenga bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh, nmeshamwambia mapema sana, asirudie tena[emoji23][emoji23][emoji23]kijana hebu amka hapo ulipolala na chenye umevuta leo usirudie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeiona aisee, hawajawahi kubaki nyuma hawa
Twende sasa bro[emoji23][emoji23][emoji23]Maskini mfilisti wa watu...