Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Atakusaidia kukuletea embe mbichi, udongo na vitam tam vingine[emoji1787][emoji1787]
Tunamsubiri ndugu mfilisiti aje athibishe kama kweli alikutuma hayo uyasemayo[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]

Sent using Jamii Forums mobile app
SHIMBA YA BUYENZE kaniletea kabati ya baridi....maana sasa hivi nakula barafu tu ndio napoza mwili.
 
Hahahahaha,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishakumbuka bro kuhusu ile sinema ya zamani tuliyotazama pale Empire mwaka 1987.
Break dance 2 electric boogaloo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro unanipiga chini umenisahau kwenye vijiwe vyetu enzi zile tupo na kina Side Storowei. Hahah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom