Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishakumbuka bro kuhusu ile sinema ya zamani tuliyotazama pale Empire mwaka 1987.
Break dance 2 electric boogaloo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tunaongea lugha moja, hapa angekuwepo na Anko basi tungekumbushana mengi zaidi.......

Hawa watoto ata hawajui Silent in wala Imasco enzi zake ilikuaje
 
Kuna mrembo mmoja alisema nihesabu mabao yote ambayo livapuu imefungwa tangu mechi na Atletico madrid, atafanya mpango ili tuyafidie kama yalivyo.
Ndiyo nipo kwenye kusubiri.
Sema tu lile daraja la magubike kilosa linataka kuvuruga hilo dili bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😀 😀 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom