Rekodi hii ya uchakachuaji haitakaa ivunjwe!![]()
Mikakati mipya nini mzee mwenzangu maana mjini hali kama unavyoionaKidogo deni naelekea kumaliza kulipa,
Nina bahati kwani sikuwahi kupigwa kwa ugoni kama wewe mwenzangu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HahahahaRekodi hii ya uchakachuaji haitakaa ivunjwe!![]()
HahhahahaNimeshangaaa!!!! moudgulf salamaleko nyiiingi kwa ukhuty,kumbe ametega na kwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]