Rekodi hii ya uchakachuaji haitakaa ivunjwe!
Mikakati mipya nini mzee mwenzangu maana mjini hali kama unavyoionaKidogo deni naelekea kumaliza kulipa,
Nina bahati kwani sikuwahi kupigwa kwa ugoni kama wewe mwenzangu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HahahahaRekodi hii ya uchakachuaji haitakaa ivunjwe!
HahhahahaNimeshangaaa!!!! moudgulf salamaleko nyiiingi kwa ukhuty,kumbe ametega na kwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]