moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Watu wamekuona nyumbani kwa mzee wa Mwakaleli Kibamba ukiwa na kanga moko unapiga mswaki
Hapa magubike na maguha sijui Pana gundu gani aisee[emoji26]
Itabidi unifwate tu hukuhuku..ukifika hapa unaogelea kuja ng'ambo hii,nakuamini Wewe mwanaume wa shoka..umeongelea Hindi sembuse hapa kilosa[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jamani nimekwama hapa Kijijini maguha
Acheni kumpa moud wangu presha zisizo na maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app