moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapa magubike na maguha sijui Pana gundu gani aisee[emoji26]
Itabidi unifwate tu hukuhuku..ukifika hapa unaogelea kuja ng'ambo hii,nakuamini Wewe mwanaume wa shoka..umeongelea Hindi sembuse hapa kilosa[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jamani nimekwama hapa Kijijini maguha
Acheni kumpa moud wangu presha zisizo na maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushemeji ni kusaidiana shemeji langu la nguvu. Donti wori ezi longi ezi ai emu alaivu hutapata shida kamwe hata Mfilisti akisepa mazima. Everesingi wili bi OKE shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
70s ulikuwa bado ndani ya boksa ya Mshua acha mbwembwe hapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wananiharibia CV hao[emoji23]Watu wamekuona nyumbani kwa mzee wa Mwakaleli Kibamba ukiwa na kanga moko unapiga mswaki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]70s ulikuwa bado ndani ya boksa ya Mshua acha mbwembwe hapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sio hance bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]