Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Picha sinilishakutumia?
Yaani mbaba wa watu anajutaa kuifahamu JF🤣🤣🤣🤣🤣 eti wanamwambia asiendelee kusimulia hiyo movie wanaijua. Dah!
Naomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
Ile hainaga ushemeji bado iko hewani? Au isha yeyuka?Ushemeji ni kusaidiana shemeji langu la nguvu. Donti wori ezi longi ezi ai emu alaivu hutapata shida kamwe hata Mfilisti akisepa mazima. Everesingi wili bi OKE shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tutafundishana kidogo tulichonachoMimi lugha sipo vizuri kabisaaaaaaaaaaa😀😀😀
Kwa kifupi, Shimba ya Buyenze maana yake kwa Kisukuma ni Lisimba lidume lenye manyoya mengi.Naomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
Aisee. Nilikuwa sijui...Numby kutoka kwenye kinumbu kwa kiswahili kiazi kitamu
Pole bro...Nilikosea kuliandika wakat najiunga humu, ila sahihi ni Nigendako, maana yake ni Mkiwa (mtu anayezaliwa baada ya ndugu zake wawili anaowafata kufariki wakiwa bado wachanga)
Eti mirungi...[emoji16][emoji16][emoji16]Maana yake ni majani flani kama mirungi mkuu
Je ayyanna??
Halafu hapo upo full magome. Yaani mpaka raha [emoji16][emoji16][emoji16]Ayaaaaaaaa umenikumbusha mbali kweli kweli. Shule nilikua nafungiwa viazi vha kuchemsha hakuna cha hela mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hapo upo full magome. Yaani mpaka raha [emoji16][emoji16][emoji16]
Fyekero [emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Nataka nijue ukweli wa jina lako, pia ukweli kwamba unatumia fyekero
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi, Shimba ya Buyenze maana yake kwa Kisukuma ni Lisimba lidume lenye manyoya mengi.
View attachment 1378006
[emoji2088][emoji2088][emoji2088]Fyekero [emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
Waxing [emoji777][emoji777][emoji777]...Khaaa.....waxing itakuwa inakuhusu Shem,
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]