Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla ya kichapo cha Chelsea, Liverpool ilianza kwa kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kisha ikashinda mabao 3-2 dhidi ya West Ham United na baadaye ikapigwa mabao 3-0 ikiwa ni kichapo cha kwanza kwenye Ligi Kuu England.
 
Akizungumza baada ya mchezo na Chelsea, Klopp alisema kupoteza kwa Watford lilikuwa jambo baga kwake, lakini kupoteza mchezo sio jambo la kushangaza ila kilichomshtua ni safu yake ya ulinzi kuruhusu mabao nane kwenye mechi nne.
 
“Tumekuwa na matokeo mazuri kwa muda mrefu kwa sababu walinzi wetu walikuwa wakicheza kwa ubora. Kwa kawaida huwezi kupata nafasi nyingi za kufunga unapocheza na sisi, lakini katika mechi nne tumeruhusu mabao mengi,” alisema.
 
Kwenye mchezo dhidi ya Chelsea, Klopp aliwaanzisha benchi mastaa wake Mohamed Salah na Roberto Firmino na kuwapa nafasi makinda kutoka akademi, Curtis Jones na Neco Williams ambao walicheza kwa kiwango bora.
 
SGR
FB_IMG_1583336687613.jpeg
 
Back
Top Bottom