Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jirani Kheri huko? Unaniangusha jirani, Hebu uwe kama kijana wa Mchafukoge bana. Saint Anne ataka aoneshwe mguu wa mtoto yakhe; Mtunuku jirani! [emoji3][emoji3]
Bora usiwe nayo tu.
Ila usipokuwa nayo unakuta jiziinakubomolea na linazoa kila kitu,unatamani ungekuwa nayo umfwatike nayo moja ya shingo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wangu Mimi[emoji23][emoji23][emoji23]!!
😀 😀 😀...Jirani yale mambo ya kisutu zama zile kwa wale jamaa zetu yamebadirika.
Tunalazimika kubadirika kulingana na muda
Sent using Jamii Forums mobile app