Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jirani yale mambo ya kisutu zama zile kwa wale jamaa zetu yamebadirika.
Tunalazimika kubadirika kulingana na muda
Jirani Kheri huko? Unaniangusha jirani, Hebu uwe kama kijana wa Mchafukoge bana. Saint Anne ataka aoneshwe mguu wa mtoto yakhe; Mtunuku jirani! [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIGI Kuu England msimu wa 2019/2020 ndiyo inaelekea ukingoni, huku Liverpool ikikaribia kutwaa taji la michuano hiyo, ila vita ya kuwania kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya inazidi kunoga ikizikutanisha timu za Manchester United, Chelsea, Wolverhampton Wanderers na Tottenham Hotspur.
 
Kama kawaida Ligi Kuu England imejaliwa kuwa na wachezaji kibao wenye viwango vya juu duniani na katika kutambua ubora wao tuzo ya Mchezaji Bora wa PFA wa Mwaka hutolewa kila msimu na huenda kwa mchezaji aliyefanya vizuri zaidi katika msimu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…