Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kumbe huyu jamaa ana miaka 29 tu[emoji7]5. Jordan Henderson
Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson, 29, ana msimu bora sana, amekuwa mmoja kati ya wachezaji bora katika kikosi cha kocha Jurgen Klopp.
HB wa Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91]3. Trent Alexander-Arnold
Trent Alexander-Arnold ni mmoja kati ya wale mabeki wa pembeni wa kisasa anayependa sana kushambulia. Ni mmoja kati ya mabeki bora zaidi wa dunia katika kushambulia. Msimu huu amepiga pasi za mabao 12.