Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1583335998214.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh sawa.
Sisi husema"Mungu akipenda"

Nilisoma kwenye Bible kitu Kama hicho
Inshaallah ni dua kuomba kijacho.
Mathalani natamani kesho nitimize adhma furani, kama vile kwenda kufanya manunuzi nk.
Sasa sijui kama hiyo kesho nitakua na uzima au afya njema ya kutimiza nilichopanga.
Kwahiyo nitasema inshaallah tukijaaliwa tutafanya hivyo hapo mchana, usiku au kesho.
Hivyo imekatazwa kujilopokea tu kesho nitaenda, nitakuja nk.
Hayo ni makosa, yafaa useme inshaallah kesho nitaenda, maana yeye Mungu ndiye ajuaye kesho yetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom