moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muulizeni MOUD nilichomuomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hembu sema,Ni Nini hiko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa vitu vya kutisha??
Ipi hiyo tena? 😁
Inshaallah ni dua kuomba kijacho.
Mathalani natamani kesho nitimize adhma furani, kama vile kwenda kufanya manunuzi nk.
Sasa sijui kama hiyo kesho nitakua na uzima au afya njema ya kutimiza nilichopanga.
Kwahiyo nitasema inshaallah tukijaaliwa tutafanya hivyo hapo mchana, usiku au kesho.
Hivyo imekatazwa kujilopokea tu kesho nitaenda, nitakuja nk.
Hayo ni makosa, yafaa useme inshaallah kesho nitaenda, maana yeye Mungu ndiye ajuaye kesho yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku poa sanaFresh sana mrembo wetu sijui pande zako huko?
Kifo cha berlin nilihisi machozi yananitoka.Yule Nai ni mtu muhimu sana mule nahisi atapona tu, mwenyewe naomba yasitokee ya kamanda Berlin maana niliumia sana jamaa alivyopotezwa
Mimi najilinda tu mwenyewe.
Ngoja kwanza naja[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]
#Sinilishakuparamanikwaniulipoteza?
Hi mremboHuku poa sana
Tunashukuru
Sijambo kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzi umefika pabaya.
Hujambo dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma ya mdoshi[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]