Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema Bro.....shikamoo [emoji3][emoji3]. Mimi makasiriko siwezagiSiku nyingi hatujasalimiana sis.
Kwema huko kwako? Najua wewe huna makasiriko jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Marahaba sis...Kwema Bro.....shikamoo [emoji3][emoji3]. Mimi makasiriko siwezagi
Sent using Jamii Forums mobile app
BAK kapatikana? Wanaharakati wetu kwenye uzi huu wamepotea wote. Hata mwingine niliona jana unatuhumiwa eti umemnyang'anya nywila. Sikuamini !!!
Amina Bro [emoji7][emoji7]Marahaba sis...
We na upole wote huo makasiriko yatoke wapi?
Mungu Azidi kukubariki sis [emoji1545][emoji1545]
Saint Anne. Unakubaliana na huyu mkuu wa mkoa wako? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1378808
Yaani sijui wamepotelea wapi nimewamiss hawa ndugu. BAK ndio kapotea muda mrefu zaidiBAK kapatikana? Wanaharakati wetu kwenye uzi huu wamepotea wote. Hata mwingine niliona jana unatuhumiwa eti umemnyang'anya nywila. Sikuamini !!!
Ina maana hana pointi kabisa huyu mkuu wenu?What a shame,, Mbeya tumeingiliwa aisee..