Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiwango cha Virgil van Dijk

Mafanikio ya Liverpool msimu huu yamechangiwa sana na ubora wa ukuta wa timu hiyo unaosimama mbele ya Alisson Becker kipa bora zaidi duniani kwa sasa, timu imekuwa na takwimu nzuri za ulinzi ikiwa imefungwa mabao machache zaidi Ligi Kuu England, mabao 20.
 
a2416819-4f69-4d8e-b071-10f7e3634fbe.jpg
 
Lakini, kwenye mechi dhidi ya Chelsea, Gomez alirudi uwanjani, bado Van Dijk hakuonekana kucheza vizuri, hii inathibitisha kuwa staa huyo kiwango chake kimetetereka kidogo yawezekana kwa sababu ya uchovu au vitu vingine, ila bado kinaiumiza timu yake.
 
Hivyo ili timu irudi katika ubora wake, Van Dijk anatakiwa kurudi katika kilele cha mafanikio yake kwa sababu yeye ni kiongozi na uwepo wake huwafanya mabeki wote wa Liverpool kuwa bora na timu kwa ujumla inapata matokeo
 
Kukosekana kwa Jordan Henderson

Inawekena kuna watu bado wanaamini Jordan Henderson ni mchezaji wa kawaida, lakini ni wazi kuwa kukosekana kwake kunathibitisha ni kwa jinsi gani ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Klopp.
 
Ilibaki kidogo tu West Ham iwe timu ya kwanza kuifunga Liver kwenye Ligi Kuu msimu huu, lakini mechi iliisha kwa mabao 2-1 vijana wa Klopp walitoka nyuma kushinda mechi hiyo, kabla ya kukutana na vichapo vya Watford na Chelsea katika Kombe la FA.
 
Back
Top Bottom