Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namaanisha English premier League (EPL)ni starehe ya wengi sio mashabiki wa liver pekee kuna timu nyingi kule,kuna watu wanaendesha biashara za kubet,matangazo,jezi,etc kupitia epl. Sijawahi kuwa interested na Liver anne
Mtuwache[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni muhimu kuwarudisha kikosini Firmino na Salah wacheze na Mane kama ambavyo imekuwa msimu mzima, lakini kikubwa kwake ni kutafuta mbinu ambazo zitarudisha makali ya watatu hawa ambao wamefunga asilimia kubwa ya mabao ya Liver msimu huu.
 
Kuimaliza mapema Atletico

Wakati akiendelea kumaliza matatizo ya juu hapo, Klopp ana mtihani mkubwa sana mbele yake, kikosi cha Diego Simeone kinakuja Anfield na haitakuwa kazi rahisi kwake kupindua matokeo hasa baada ya kuchapwa 1-0 katika mechi ya kwanza.
 
Atletico ni timu bora sana kwenye kujilinda na hasa inapokuwa na faida ya bao moja itapaki basi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza, hivyo Liverpool inatakiwa kutafuta mabao huku ikiwa makini isiruhusu bao la ugenini.
 
Mo wa siku hizi
Screenshot_20200305-214327_Instagram.jpg
 
BARCELONA inajiandaa kuja na operesheni Neymar ambayo itakuwa ni maalumu kuhakikisha Mbrazil huyo anarudi Nou Camp wakati wa dirisha la usajili la kiangazi akitokea Paris Saint Germain.
 
BARCELONA inajiandaa kuja na operesheni Neymar ambayo itakuwa ni maalumu kuhakikisha Mbrazil huyo anarudi Nou Camp wakati wa dirisha la usajili la kiangazi akitokea Paris Saint Germain.
 
Back
Top Bottom