carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwamba humu ndani kuna mtu anaomba "mguu wa mtoto"[emoji23][emoji23][emoji23]Nilitamani sana wewe na Shemeji yangu kipenzi kivuruge muwepo mtoe neno kuhusu hii kasheshe ya kulilia mguu wa mtoto tena wa ustaadhi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Yenyewe huu uzi ulikofikia ni hatari.