Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464822994_260304.jpeg
 
Uzi huu Leo naona, key word ni "Mguu wa mtoto". Nadhani nilipitwa hii mada, kinaongelewa nini hapa poti? SHIMBA YA BUYENZE? [emoji3]
Kuna binti mmoja anataka kuona mguu wa mtoto wa Ustaadh Moud. Ustaadh naye hataki kumuonyesha eti mpaka wawe faragha. Ndiyo hapo kuna mvutano sasa. Ila sisi tunamlaumu Ustaadhi kwa sababu hii ni bahati sana kapata halafu anazingua bila sababu....

Ishu hii ni ndefu kidogo na nadhani ilianzia kwenye mguu wa King Davet...

Kwema lakini huko kwako? Huyu Kirusi Korona vipi?
 
Huo mguu wa kuonyeshana faragha utakuwa mguu dizaini aisee, eeeh! 😀 😀 ... Huyu kirusi Korona ni hatari huyu, ni kirusi mpya huyu; hakuna mtu ambaye ana immunity na huyu kirusi. Pande hii sijasikia ila huwezi kujua, watu wanatembea nae tu bila kujua. Ni hatari sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanataka kuona mkono wa mtoto wa punda live[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Naona bado. Siku akikutana nao laivu vu bin vu sidhani kama atakuwa na maneno mengi hivi. Wanakuwaga wapoleeeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanatamani majumbani mwao akatize hata nyoka wamlipue, lakini huwezi amini bro, mpaka nyoka wanakupitia mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unabaki na kibunduki chako unamtishia wife[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Ona sasa mtu kaamua aigeuze baruti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom