moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ukifanya mchezo unaweza kumbutua nacho dereva wa daladala anayekuchomekea,[emoji23] angalau ipate matumizi furani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mzigo tu maana unakua nayo miaka mingi ata haifanyi kazi, muda mwingine unatamani upige ata kuku
Sent using Jamii Forums mobile app