Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna yule mchezaji anaongea kiswahili kidogo na kiingereza Sana.,juzi alifunga goli la pili.
Nilimpenda bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauomba mguu wa mtoto?
Huyu sope tumuogopee Nini?Yanga wanamuogopa huyu jamaa kuliko hata Kagere View attachment 1378241
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wa kunyimana "miguu"
Sijui ni yupiNani?
Kahata yule Mluya wa Kenya au Luis yule mmakonde wa Msumbiji
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 yaani kazi kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu nakwambia ni kazi.
Wengine wanaomba miguu ya watoto. Wenye miguu ya watoto nao wanazingua. Yaani basi tu....
Usiku wa kunyimana pipiii
Ngoja niombe tu wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu nakwambia ni kazi.
Wengine wanaomba miguu ya watoto. Wenye miguu ya watoto nao wanazingua. Yaani basi tu....
Kwema lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kazi kwelikweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unauomba mguu wa mtoto?
Wewe huyu? Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]