Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna binti mmoja anataka kuona mguu wa mtoto wa Ustaadh Moud. Ustaadh naye hataki kumuonyesha eti mpaka wawe faragha. Ndiyo hapo kuna mvutano sasa. Ila sisi tunamlaumu Ustaadhi kwa sababu hii ni bahati sana kapata halafu anazingua bila sababu....

Ishu hii ni ndefu kidogo na nadhani ilianzia kwenye mguu wa King Davet...

Kwema lakini huko kwako? Huyu Kirusi Korona vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanatamani majumbani mwao akatize hata nyoka wamlipue, lakini huwezi amini bro, mpaka nyoka wanakupitia mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unabaki na kibunduki chako unamtishia wife[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 eti Nyoka......

Hii kitu ni mzigo sana japo inaongezea mtu ujasiri na kujiamini
 
Aiseee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umepitwa mpendwa...

Heka heka ya mguu wa mtoto....

Ningependa kusikia maoni yako kuhusu hii ishu. Nawe wapendaga mguu wa mtoto mpendwa?[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Screenshot_20200305-230501_Facebook.jpeg
 
Tumuombe Mungu atufanyie manusura, Corona ina uwezo wa kubadirisha historia na jiografia ya Dunia ndani ya miaka miwili tu.
Corona inaweza kuharibu China lakini inaweza kwenda kupiga kambi kwenye nchi nyingine kadhaa ikafanya uharibifu mkubwa.

"Mungu tuepushe na janga hili kama ulivyo waepusha wenzetu huko nyuma dhidi ya majanga ya kutisha zaidi kuliko hili" [emoji120][emoji120]
Unaweza amini kuwa CORONA Inaweza kuwa janga la dunia kwa miaka inayo endelea???

Angalia hapa[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1378290

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom