Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nimesikia juu juu hii issue sijui kama ni kweli ila nao watupumzishe sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu cha connections sijakipata na wala sikitafuti jamanii eeee nimeacha dhambi shuain wananzengo wa insta
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Hata kwenye bus hakushuka. Jambo la muhimu ni kwamba, Stella ni binti mjanja janja kwenye mwandiko tu, ila ni kapole na kamejaa upendo.
Namshukuru kwa zawadi ya maparachichi,magimbi na miwa japo sikumuagiza akajiongeza.
Ahsante sana Saint Anne,Mungu azidi kukubariki [emoji120][emoji120]
Siku ya kurudi Mwakaleli nijulishe nitakuletea nazi stendi mkatafunage huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamanii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Watu wamekuona nyumbani kwa mzee wa Mwakaleli Kibamba ukiwa na kanga moko unapiga mswaki
Kweli kabisaaNimesikia juu juu hii issue sijui kama ni kweli ila nao watupumzishe sasa.
Huu Uzi mmenifundisha Hadi kuangalia miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebhana eeeh.
Ongeza volume hapo mwisho[emoji23][emoji23]
KD kasema tayali imekuwa old skul, upatikanaji wake ni ishu,,hili jibu nimelipokea kinyonge sanaUkiipata na mimi ni connect[emoji125][emoji125]
Umeipata??Heheee!!
Nacheza kisukuma mie
[emoji122][emoji122][emoji122]Hata kwenye bus hakushuka. Jambo la muhimu ni kwamba, Stella ni binti mjanja janja kwenye mwandiko tu, ila ni kapole na kamejaa upendo.
Namshukuru kwa zawadi ya maparachichi,magimbi na miwa japo sikumuagiza akajiongeza.
Ahsante sana Saint Anne,Mungu azidi kukubariki [emoji120][emoji120]
Siku ya kurudi Mwakaleli nijulishe nitakuletea nazi stendi mkatafunage huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazungumzia nini eti?Nadhan ni huyo nimeona picha tu kakaa kwenye kochi kawaida
Usinitishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama duniani cha kwako kaburi tu[emoji23][emoji23]
Wasuku wanachezaje kwani?Heheee!!
Nacheza kisukuma mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]