Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji122][emoji122][emoji122]

Halafu anko unakumbuka nadai mafyulisi yangu tangu mwaka juzi??
Na april ndo inakaribia nadai na riba ya mwaka jana[emoji23][emoji23]

Kwema?nimekumissimo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]tangu mwaka jana!!
Ina maana hauja enda kusalimia Uyole kipindi chote hicho?
Mungu akipenda mwisho wa mwezi nikumbushe nikubebee kiroba kizimaaa

Mungu ni mwema tupo vizuri zaidi ya jana.
Vipi huko Kigilagila wazima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…