Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]tangu mwaka jana!!
Ina maana hauja enda kusalimia Uyole kipindi chote hicho?
Mungu akipenda mwisho wa mwezi nikumbushe nikubebee kiroba kizimaaa

Mungu ni mwema tupo vizuri zaidi ya jana.
Vipi huko Kigilagila wazima?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]
Tangu nimeondoka december sijarudi tena ila nahisi kama baada ya 2weeks hivi ntaenda kusalimia.

Huku kwema kabisa mambo tu yamekuwa mengi mnoo
 
Kuna kideo cha connection kimevuja
Na ndo kilicho nileta hapa... Nina hamu kuona hicho "kichocheo" kipya mweee
tapatalk_1565585372774.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom