Adui muombee njaaHabari njema hii
Adui muombee njaaHabari njema hii
Mpango mzima huo mzeeAdui muombee njaa
Na tunashinda keshoHabari njema hii
Kesho nna wewe[emoji3]Mpango mzima huo mzee
Malizana na davet kwanza
Wala siifichi sura yangu 😁
Inshallah!
Hahah!Malizana na davet kwanza
Hata kwenye bus hakushuka. Jambo la muhimu ni kwamba, Stella ni binti mjanja janja kwenye mwandiko tu, ila ni kapole na kamejaa upendo.
Namshukuru kwa zawadi ya maparachichi,magimbi na miwa japo sikumuagiza akajiongeza.
Ahsante sana Saint Anne,Mungu azidi kukubariki [emoji120][emoji120]
Siku ya kurudi Mwakaleli nijulishe nitakuletea nazi stendi mkatafunage huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala siifichi sura yangu [emoji16]
Usiwe unasahau Anne hili neno ni muhimu