danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
14
We are so selfish
Halafu niliona ka unauliziwa...[emoji12]Habari yako mrembo,karibu sana
Asante kwa ushauri mkuu. Ulipofurushwa kwa Nsamaka na kile kijamaa kuhamia katika nyumba uliyoijenga mwenyewe niliona mateso yako mpaka ulipogeuka na kuanza kuimba gospo. Mapenzi yanauma ati!Mkuu sifurahii matatizo unayo pitia,mimi mwenyewe najiona mhanga baada ya hilo dowezi kukosa zizi.Jakitoo wana mu entertain sana,asiwachekee,akumbuke maneno yale ya mchana,ni afya kwa mahusiano yenu.Naamini mtashinda tu.Lichunge sana libaba fulani hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
112k111k