Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndani ya Arsenal, Alexandre Lacazette ndiye anayemfuatia Aubameyang kwenye upachikaji mabao akiwa na sita akifuatiwa na Nicolas Pepe mwenye mabao manne.

Kwa huduma yake hiyo, hofu imetanda kwenye korido za Emirates kutokana na hatima ya straika huyo kuendelea kuwepo klabuni hapo msimu ujao.
 
Kama Arsenal itashindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya ama Europa League kuna kila dalili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Gabon, akaondoka huku klabu kibao zikiwania huduma yake.

Inter Milan na Barcelona zote zinawania huduma ya Aubameyang na mara kadhaa zimekuwa zikiwasiliana na Arsenal kuangalia uwezekano wa kupata huduma hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…