Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mchezaji wetu Eden Hazard amefanyiwa upasuaji leo (jana), Dallas katika mguu wake wa kulia,” taarifa ya Real Madrid ilisomeka. “Upasuaji huo ulifuatiliwa kwa karibu sana na timu ya madaktari ya Real Madrid.