Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tayari keshafikishwa machinjioni [emoji16][emoji16]
Hata awe na utundu na ubunifu wa aina gani siku hizi hakuna kitu. Bila kujua mwanaume anataka nini hasa kwake hata awe na utundu na ubunifu kuwazidi akina Cherokee D'Ass ni kazi bure [emoji2221][emoji2221]Hahah! Eti awe wako peke yako jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili hayo yawezekane sasa unatakiwa uwe mtundu sana na ubunifu wa hali ya juu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Haki nimecheka mie[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi watu wa Pwani kiasili lazima tumiliki wake zaidi ya mmoja na si zaidi ya wanne, kuna mdada furani mtaani kwetu huko magorofa ya tazara[emoji23][emoji23][emoji23], amekuja na masharti eti kumtwaa lazima awe wa pekee[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Iache ifike tu.Ratio yenyewe sasa inakaribia kuzidi 1:2...
Wa peke yako utamtoa wapi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kuongea hata Wazaramo wakasome indeed wallahi mane lavusi mi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tobaa[emoji23]Jamani...
Mbona mimi sijawahi kupiga mwanamke hata siku moja...labda tu kwa kutumia mkono wa mtoto?![emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wapo wa kula tunda kimasikhara tu. Anza kutafuta wa kwako peke yako aka soulmate ndo kimbembe ukione. Upepo wa kisulisuli [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kuna nini cha kufafanua hapo jamani? Corona virus is poised to become a pandemic soon...Tuombe sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
UsinitisheWapo wa kula tunda kimasikhara tu. Anza kutafuta wa kwako peke yako aka soulmate ndo kimbembe ukione. Upepo wa kisulisuli [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Haleluya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ina maana hana pointi kabisa huyu mkuu wenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haleluya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]