myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMama duniani cha kwako kaburi tu[emoji23][emoji23]
AiseeMama duniani cha kwako kaburi tu[emoji23][emoji23]
Safiii
Ratio yenyewe sasa inakaribia kuzidi 1:2...
Wavuvi acha tupite hivi, unaweza kuuza mitumbwi yako hapa; si mchezo! 😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hapo sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Kwanini umwage nje...mpe jirani ale[emoji23][emoji23]
Jirani bana. Nyendo zake kimya kimya tu...Maneno machache lakini ...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Usiku ni tamu kuliko mchana....
😂😂😂Jirani bana. Nyendo zake kimya kimya tu...Maneno machache lakini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] utawaka [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uhandisi....
Nini tena jamani?Wasuku wanachezaje kwani?
Kuongea tu kama wanataka kupigana..
Kucheza sasa si ni vita kabsa [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Kwa kuongea hata Wazaramo wakasome indeed wallahi mane lavusi mi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hata kwenye bus hakushuka. Jambo la muhimu ni kwamba, Stella ni binti mjanja janja kwenye mwandiko tu, ila ni kapole na kamejaa upendo.
Namshukuru kwa zawadi ya maparachichi,magimbi na miwa japo sikumuagiza akajiongeza.
Ahsante sana Saint Anne,Mungu azidi kukubariki [emoji120][emoji120]
Siku ya kurudi Mwakaleli nijulishe nitakuletea nazi stendi mkatafunage huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani...Ndio,kwa niliowaona huku ninakokaa